Balqis Soap
TZS 5,000
Maelezo ya Bidhaa
Sabuni hii ni Asilia na imetengenezwa bila viambata sumu
Faida ya Sabuni ya Balqis
1. Husaidia kung'arisha Uso na kuipa mng'ao wa asili
2. Husaidia kuondoa weusi usoni
3. Husaidia kupunguza chunusi
4. Husaidia kuondoa wekundu usoni uliotokana na matumizi ya Sabuni zenye viambata sumu
Tathmini
Bado hakuna tathmini.